Makamu wa Rais wa Iran Akumbwa na Virusi vya Corona



Viongozi wawili nchini Iran, Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia wanawake na masuala ya familia, Masoumeh Ebtekar na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Usalama wa Taifa na Mambo ya Nje, Mojtaba Zolnour wote wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Idadi ya waliofariki Iran imefikia Watu 26 huku walioathirika wakifikia 245.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad