Makubwa! Mpenzi Anataka Nyuma la Sivyo Ananiacha..Help


Kuna dada mmoja amenihadithia jambo akiomba ushauri anasema ana mpenzi wake wanaopendana sana wamekuwa pamoja kwa miaka mitano sasa, kila siku ya maisha yao haijawahi kutokea akajutia kuwa na huyo mpenzi wake..

kwa muda huo wote walikuwa wakikutana kimwili kwa njia ya kawaida tu ile ambayo inaruhusiwa kihalali na wala kulikuwa hamna tabu wala hamna mtu ambaye hakuridhika na starehe ambayo mwenzake anampa..

anachoshangaa yeye ni kwamba mwezi wa tatu huu sasa jamaa ananuna hataki hata kwenda nyumbani kwa huyo dada kisa jamaa amechoka kula mbele peke yake anataka kanga igeuzwe upande wa pili..

huyu dada alikataa na kumwambia hiyo siyo sahihi kwake, kitu mpenzi wake alichomjibu ni kwamba kwani wewe upo nji gani wasichana wenzako siku hizi wengi huwapa wapenzi wao upande wa pili kwa nini wewe hutaki kunipa? kama hutaki inamaana utaanza kumpa mtu mwengine ama unaona mimi sifai?

yule dada kwa uchungu anasemakila siku alikuwa anampigia simu mpenzi wake akilia akimuomba aachane na hayo mawazo, lakini kijana bado anadai anataka, anasema sasa umekuwa ugomvi mkubwa sana kati yao na anahisi wataachana kinachomuuma nikwamba anampenda sana mpenzi wake huyo, na mpenzi wake haelewi somo lengine kabisa huyu dada sasa hajui afanye nini...

akiomba ushauri kwa rafiki zake wengine wanamwambia ampe tu huyo mpenzi wake kwani atabadilisha wanaume wa ngapi? wengine wanamwambia hiyo ni dhambi kubwa lakini akitaka anaweza tu kumpa kwani dhambi ngapi amefanya tokea amezaliwa iwe hiyo moja? wengine humshauri kwamba siku hizi mpaka machangu wengi hutoa nyuma ama unataka aende akachukue kwao akileta magonjwa je?

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpe okoa penzi

    ReplyDelete
  2. Kama anakupenda kweli ataelewa labda anatafuta sababu muachane....... shikilia mcmamo walo unaweza ukampa pia akakuacha hawana kheri hao viumbe.

    ReplyDelete
  3. Amekuchoka anashindwa kukwambia komaa hakuna kumpa tiGo

    ReplyDelete
  4. suleiman engema16 March 2013 at 02:50

    USIMPEEEEE

    ReplyDelete
  5. Mpee ndo atazidi kukupenda

    ReplyDelete
  6. Temana na izo swaga dada angu,,,uyo kakuchoka anashindwa tu kukuambia coz kwa mwanaume timamu hawez kuxuxa kwa kijixababu kama icho never....we bhna wanaume wapo weng tena wazur wenye kuliko yye so be care uxje ukachimba shimo ukatumbukia mwenyew..
    ***via mapenzi planet***

    ReplyDelete
  7. Temana na izo swaga dada angu,,,uyo kakuchoka anashindwa tu kukuambia coz kwa mwanaume timamu hawez kuxuxa kwa kijixababu kama icho never....we bhna wanaume wapo weng tena wazur wenye kuliko yye so be care uxje ukachimba shimo ukatumbukia mwenyew..
    ***via mapenzi planet***

    ReplyDelete
  8. huyo hakupendi anatamaa tu kwani huko nyuma anataka nini wakati ni kinyume na maumbile na pia ni kinyume na matakwa ya mwenyezi mungu? achana naye

    ReplyDelete
  9. hao wanaosema eti mpe tu kwani ni dhambi ngapi umefanya ni MASHETANI NA MAIBILISI wakubwa....unatenda dhambi unatubu nasio unatenda dhambi na kuendelea kufanya dhambi, achana na huyo mvulana tunza utu wako dada

    ReplyDelete
  10. just drop him....he is not worth it

    ReplyDelete
  11. hakuna haja ya kwendelea naye hata kama anampenda,atampata anayempenda zaidi

    ReplyDelete
  12. He is nt God so kisikusumbue kukwacha.Tubu Mgeukie Mungu atakusamehe.kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti.huyo jamaa ni jini c mtu.na ukikubali kutumiwa kinyume na maumbile haja kubwa kwako haitakuwa na brake tena,sasa pata picha itakuwaje.

    ReplyDelete
  13. Usijaribu kukubali kufanya hicho kitendo haramu Mungu hapendi pia sio kizuri kwa afya yako hapo baadae jaribu kutunza heshima na utu wako mbele ya jamii kama ni kukuacha kubali utaumia kwa muda tu alafu yatapita

    ReplyDelete
  14. pleeeeaseee mpe mbona demu wangu ananipa na fureshhh tuuuu

    ReplyDelete
  15. ACHA UJINGA WAKO WEWE DADA. MIMI NI MWANAMME NAKUPA ANGALIZO KUWA UKIMPA TU HUU MKUNDU UJUE ANAKUACHA SIKU HIYO HIYO. HAPO ANAKUJARIBU ILI UKIMPA ASEME KUMBE HATA MWINGINE AKIJA UNAWEZA KUMPA. HUYO HAKUPENDI MAANA AKUPENDAYE HAWEZI KKUKUINGILIA NYUMA. UNANISHANGAZA UNAPOSEMA UNAMPENDA SANA, UNAWEZAJE KUMPENDA MTU WA AINA HIYO? DHAMBI YA ZINAA MMESHA FANYA BADO MNAONA HAITOSHI SASA MNATAKA MFANYE MAMBO YA SODOMA NA GOMORA. ACHANA NAYE.

    ReplyDelete
  16. Mwambie jamaa huyo akafie mbele ya safari, kwani anataka kukudhalilisha, achana naye, watu wanatafuta wanawake wenye heshima kama wewe, akikataa mwambie safari njema, maana hatafika mbali atalizoa gonjwa mbele ya safari, mjinga mkubwa huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad