Makubwa:Amlazimisha Mme Wake Aoe Mke wa Pili Kisa Mmewe Anataka Game Kila Saa
5Udaku SpecialFebruary 20, 2020
Habari wana jamvini kunadada mmoja huyo Pichani jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?
Wakati wanaanza mapicha picha yao mbona akusema kama atafute msichana mwingine apo akubali matokeo. Ila ninachomshauli ajipange kwenye uzazi wake ilajamaa amuache apige mapicha picha yake atafikia wakati atachemka2.

ReplyDeletehuongo huo
ReplyDeleteNdo mwanzo watachkana 2
ReplyDeletekama muislam mbona hiyo niamri kuoa mke zaidi ya mmoja mume atekeleze tu.
ReplyDeleteDah! Hiyo mashine noumer
ReplyDelete