MALAWI: Mahakama yabatilisha Matokeo ya Urais. Uchaguzi kurudiwa
0
February 03, 2020
Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo.
Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama.
Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia leo kulingana na matangazo ya Tume ya Uchaguzi.
Tags