Manara Amuumbua Jerry Muro "Hajanitibu Macho Kabisa Yule Nimetibiwa na Marafiki”



Siku moja baada ya aliekuwa Msemaji wa timu ya Yanga ambae kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuongea na waandishi wa habari na kumtaja Msemaji wa Simba Haji Manara kuwa amedumu kwenye usemaji kwa muda mrefu na hataki kuachia ngazi.

Leo Haji Manara ameongea na Waandishi wa Habari muda kidogo baada ya kukabidhi kadi mpya za mashabiki wa Simba Mwanza.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad