Manara atema cheche “Watanzania tuache ushamba wa mitandao, Tukiendelea kutukana tutamharibia Samatta Aston Villa”



Msemaji wa klabu ya @simbasctanzania @hajismanara amefunguka na kueleza kusikitishwa na Watanzania kuendelea kutumia vibaya mitandao ya kijamii hadi kupelekea kutoa matusi Kwa wachezaji wa Aston Villa hasa nahodha wa timu hiyo wakidai anamnyima @samagoal77 pasi.


Manara amewaonya vikali Watanzania kwa kusema kuwa makosa ya Abuse kwa nchi za wenzetu ni mabaya sana hasa kwa upande wa @samagoal77 maneno hayo mabaya yanaweza kumharibia kwenye timu yake na hasa career yake.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad