Manchester United Yaendelea Kuchechemea




Manchester United imefikisha michezo mitatu bila ya kuibuka na ushindi kwenye Ligi Kuu ya Uingereza baada ya jana kutoka suluhu na Wolverhampton Wanderers kwenye dimba la Old Trafford.

Mchezaji mpya wa United Bruno Fernandes, aliweza kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na timu hiyo kwenye Ligi kuu ya Uingereza baada ya kusajiliwa kwenye dirisha la Januari lillilofungwa hivi karibuni.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad