Maskini Harmonize Afunguka Kuhusu Zengwe Alilotaka Kufanyiwa Asifanye Show Mbeya


From @harmonize_tz Saaa 3:45 Nipo Hapa Tuhgimbe Hoteli Mbeya Nikijiandaa...!!! Kuelekea Uwanjani Kwajili Ya Show
Jeshi La Ulinzi Na Usalama Limeingiza Magari Hapa Uwanjani Na Kuamuru Show Isiendelee...!!!! Ikiwa Show ina Kibali Kinacho Tuamuru Kuendelea Na Tamasha Mpaka Saa 6:00 Usiku...!!! Na kinatambulika na serikali Kiukweli Nimebaki Mdomo Wazi Na Siwezi Kuingilia Taratibu Za Usalama Ingawa Sijabahatika Kupewa Sababu Ninini Nichukue Fursa hii...!! Kuwaomba Radhi Mashabiki Nduguzangu Waliopoteza Muda wao Na Kujazana Hapa Uwanjani..!! Richa Ya Pesa Walizo lipa Naomba Niishie Hapa...!!! Na Nimuachie Mungu Mpanangaji Mkuu Mana Ukipanga Nae Pia Anapanga...!! 🙏 IM JUS TRAYING TO CHASE MY DREAM 🤐 from My Hart Nimemsamehe Yeyote Alie husika na Hili And Mungu Amjalie Zaidii..!!! BURUNDI NEXT 8/3/2020 ❤🤞

UPDATES: Baadae aliruhusiwa Kufanya Show

SOMA HABARI HIZI KUPITIA APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD > HAPA

From Harmonize_tz:

NICHUKUE NAFASI HII KIPEKE KUISHUKURU SERIKALI YA MKOA WA MBEYA MHE MKUU WA MKOA, RPC PAMOJA NA UONGOZI WOTE WA MKOA KWA KUSIMAMIA UWEPO WETU HAPA HUSUSANI ULINZI NA USALAMA WETU LAKINI ZAIDI KUDHIBITI CHANGAMOTO AMBAZO KWA NAMNA MOJA ZILITAKA KUPELEKEA SHOW YANGU JANA USIKU KUTAKA KUHALIBIKA...!! MUNGU AWABARIKI SANA 🙏
MASHABIKI ZANGU NIWAOMBE RADHI KWA KUTOWAPA MUDA WA KUTOSHA KUTOKANA NA SABABU ZILIZOKUA NJE YA UWEZO WETU NA NIWASHUKURU PIA MLIO AMUA KUSUBIRI MPAKA ILIPO WEZEKANA WALAU MIMI TUU KUPANDA JUKWAANIII...!!! CHANGAMOTO NI KAWAIDA...!!!!!! NAWAAHIDI NITARUDI MBEYA KWA MARA NYINGINE. 🙏 BURUNDI NEXT 8/3/2020 #JESHI LINASONGA MBELE...!!!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad