MASKINI..Wanafunzi wa Tanzania China Waomba Warudishwe Nchini.."Dear Tanzania Please Bring us Home"



Mwanafunzi wa Kitanzania ambaye yupo China ameelezea kuhusiana na video inayosambaa katika mitandao ya kijamii ambayo inaonesha Watanzania wakiomba kurudi nyumbani

Amesema tatizo sio kukosa nauli, bali viwanja vya ndege na njia nyingine za usafiri katika miji waliyopo wamezuiwa kutoka kwa hofu ya kusambaa zaidi kwa virusi vya Corona

Amesema kuwa watanzania sio wa kwanza kuomba Serikali yao kuwachukua, kuna baadhi ya raia waliopo Wuhan waliomba msaada kwa Serikali zao na wakaondolewa

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Kuna utaratibu ambao Serikali inaweza kufuata ili kuwatoa raia wake nchini humo na kuwarudisha nyumbani. Video hizo zinaonesha wanafunzi hao wakiwa na mabango yaliyoandikwa kuwa wao bado hawajaambukizwa virusi vya Corona
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad