Mbwana Samatta Amefunga Goli lake la Kwanza Kwenye Klabu ya Aston Villa

#EPL Mbwana Samatta amefunga goli lake la kwanza kwenye klabu ya Aston Villa na Premier League ikiwa ni mchezo wake wa kwanza tu.

Bournemouth 2-1 Aston Villa

Unadhani Samatta atamaliza ligi na magoli mangapi?

Rekodi za Mbwana Samatta hii leo.

1⃣Mchezaji wa kwanza wa Kitanzania kucheza ligi kuu ya nchini Uingereza 'EPL'.

2⃣Mchezaji wa kwanza wa Kitanzania kufanikiwa kufunga goli ndani ya ligi kuu ya nchini Uingereza.

3⃣goli lake alilofunga leo dhidi ya Bournemouth dakika ya 71 ndiyo goli pekee la kichwa kwa upande wa klabu ya Aston Villa tangu kuanza kwa msimu huu.

Mchezo umemalizika
Bournemouth 2:1 Aston Villa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad