Mrembo BEYONCE Amkana Q BOY, Sio Mpenzi Wangu, Siwezi Kudate Na Star Bongo, Siwezi Omba Msamaha


Bongo kweli kiki Deal Juzi tu wametangaza kuwa wako pamoja kimapenzi ila leo Mrembo kamrudi kimanga Mwanaume....Mrembo BEYONCE Amkana Q BOY, Sio Mpenzi Wangu, Siwezi Kudate Na Star Bongo, Siwezi Omba Msamaha

VIDEO:


Soma Comment za Wadau

Ishara Espoir: huyu ni mgonjwa wa akili. hajielewi

MUSSA JUMA:Mimi nilikuwa naona yule dada aliekupiga ni chizi kumbe wewe mbuzi mjinga

TedY Mwandara: Yani huyu cjui km akili anazo, hizi kiki zingine sio.Ila Yusufu Mlela umekutana na kiboko yako huyu ndo kakunyoosha sasa.

Fikiri James: Huyu Malaya anatafta umaarufu kwa nguvu msiwe mnawafanyia interview mbuzi hawa.....

Sophie Aden: Sam Misago, acheni ku interview watu wa unga kama huyu Stella

Ney Joseph; Na wewe mtangazaji una moyo kweli si umkate kibao tu akili yake imkae sawa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad