Msanii Dogo Janja Apata Pumziko Baada ya Kuachana na Uwoya..Amvisha Pete Huyu Hapa

Msanii Dogo Janja ameonekana kupiga goti na kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa ambaye ni mfanyabiashara kutoka mkoani Arusha aitwaye Linnahonnah maarufu kama "Quenlinnatotoo".

Taarifa hiyo imekuja baada ya kupostiwa kwa kipande cha video fupi katika ukurasa wa mtandao wa Instagram wa msanii Linah Sanga, ambayo inaonyesha Dogo Janja akipiga goti kwenye boti na kumvalisha pete mchumba wake huyo.

READ More: Huwezi Amini..Nilimezwa na Chatu Mwaka 2008


Kupitia video hiyo Linah Sanga ameandika kwa kumpongeza Dogo Janja baada ya kufanikisha kufanya tendo hilo kwa mpenzi wake.

Madee, Linah na Recho ni baadhi ya wasanii ambao wameenda visiwani Zanzibar kula bata pamoja na kusheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mpenzi huyo wa Dogo Janja.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU DOWNLOAD HAPA

Kabla ya kuwa kwenye mahusiano na Quenlinnatotoo Dogo Janja alikuwa kwenye ndoa na msanii wa filamu Irene Uwoya, pia amekuwa msanii wa kwanza kumvalisha pete mpenzi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad