VIDEO: Msigwa Amjibu Steve Nyerere ‘Siwezi Kucheza Kwenye Kuku Mimi Ni Tai!’

Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo mbalimbali likiwemo suala lililompelekea kuhitilafiana na Msanii wa Maigizo nchini maarufa kwa jina Steve Nyerere.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzigwa, hembu jiangalie wewe na Mr Steve Nyerere, kwanza Jina lake LINATISHA.
    Halafu pesonality yake na wewe wapi na wapi wewe ni mwewe na hili jembe ni EAGLE.

    Mzigwa tafuta kazi nyingine siyo ya kinyangayiro cha RUZUKU.

    STAA wetu anakuja kuchukua JIMBO. Steve Oyeeee. Kijani ..Oyeeee.

    Mzigwa mie nnangobe natafuta mchugajina Ajira za kumwaga.. CHANGAMKIA FASTA. Nakuonea Huluma, usingoje
    kuumbuka mikononi mwa mbuge wetu mtarajiwa. KALAGA BAHO. ASIE MWANA AELLEKE JIWE STEVE ANAKUJA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Swadakta, Iringa na wana Iringa hawataki wa Malumbanokaa iikuwa Singida mashaliki na Bunda
      utaachaje Luzuku iende Hai bila wewe kupata Uhai. Lakini utapatje Uhai ukiwa Si Mwaa Hai.

      Lazima uchunge Uhai ili uwe Hai. Sasa wewe ni wa wapi..?

      Mbona anabolonga nilifikii ni Kipanga kumbe KILAZA.

      Delete
  2. HODI HODI IRINGA, HODITENA, HODI MPAKA NDANIIII, STEE KAINGIAAAAAAA.

    Mzigwa, hembu jiangalie wewe na Mr Steve Nyerere, kwanza Jina lake LINATISHA.
    Halafu pesonality yake na wewe wapi na wapi wewe ni mwewe na hili jembe ni EAGLE.

    Mzigwa tafuta kazi nyingine siyo ya kinyangayiro cha RUZUKU.

    STAA wetu anakuja kuchukua JIMBO. Steve Oyeeee. Kijani ..Oyeeee.

    Mzigwa mie nnangobe natafuta mchugajina Ajira za kumwaga.. CHANGAMKIA FASTA. Nakuonea Huluma, usingoje
    kuumbuka mikononi mwa mbuge wetu mtarajiwa. KALAGA BAHO. ASIE MWANA AELLEKE JIWE STEVE ANAKUJA.

    ReplyDelete
  3. HODI HODI IRINGA, HODITENA, HODI MPAKA NDANIIII, STEVE KAINGIAAAAAAA.

    Mzigwa, hembu jiangalie wewe na Mr Steve Nyerere, kwanza Jina lake LINATISHA.
    Halafu pesonality yake na wewe wapi na wapi wewe ni mwewe na hili jembe ni EAGLE.

    Mzigwa tafuta kazi nyingine siyo ya kinyangayiro cha RUZUKU.

    STAA wetu anakuja kuchukua JIMBO. Steve Oyeeee. Kijani ..Oyeeee.

    Mzigwa mie nnangobe natafuta mchugajina Ajira za kumwaga.. CHANGAMKIA FASTA. Nakuonea Huluma, usingoje
    kuumbuka mikononi mwa mbuge wetu mtarajiwa. KALAGA BAHO. ASIE MWANA AELLEKE JIWE STEVE ANAKUJA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad