Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema ununuzi wa wabunge na madiwani kwenda Chama cha Mapinduzi (CCM) ni usafirishaji haramu wa binadamu.
Mchungaji Msigwa aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa kitendo hicho kwa lugha nyepese ni usafirishaji haramu.
“Huu ununuzi wa wabunge naadiwani kwenda CCM ni Human trafficking kwa lugha nyepesi,” aliandika Mchungaji Msigwa.
Huu ununuzi wa wabunge na madiwani kwenda Ccm ni Human trafficking 🤣🤣kwa lugha nyepesi.— peter msigwa (@MsigwaPeter) February 24, 2020
Utabwabwajika sana.
ReplyDeleteSteve the Star...yuko njiani kuchukua JIMBO.
STEVE OYEEEE... KIJANI SAFIII...