Mchungaji Msigwa Asema Ununuzi wa Wabunge na Madiwani kwenda CCM ni Usafirishaji Haramu wa Binadamu



Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema ununuzi wa wabunge na madiwani kwenda Chama cha Mapinduzi (CCM) ni usafirishaji haramu wa binadamu.

Mchungaji Msigwa aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa kitendo hicho kwa lugha nyepese ni usafirishaji haramu.

“Huu ununuzi wa wabunge naadiwani kwenda CCM ni Human trafficking kwa lugha nyepesi,” aliandika Mchungaji Msigwa.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utabwabwajika sana.

    Steve the Star...yuko njiani kuchukua JIMBO.

    STEVE OYEEEE... KIJANI SAFIII...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad