Mtangazaji Dadi Shaibu Awatolea Povu Waliochukia Yeye Kuhamia Wasafi FM...



Ameandika haya Mtangazaji Dida Shaibu Baada ya Kuhamia Wasafi FM leo 

"NAMSHUKURU MUNGU SANA NA FAMILIA YANGU NILIPOTOKA BILA KUWASAHAU MASHABIKI ILA HATERS WANGU POLENI KWA SASA NIMEHAMIA 88.9 WASAFI FM NDIO NAPATIKANA KUANZIA LEO USICHUKIE,USIKEREKWE MAANA WENGINE MPK MMESHINDWA KUJIFICHA LABDA NIWAAMBIE KUNA NGEKEWA NA KIPAJI JAMANI NA NYOTA PIA KUTOKA KWA ALLAH KAMA NILIKUKERA JANAUARY KUNAKOELEA NITAKUKERA ZAIDI NAJUA BINADAMU TUNA ROHO DHAIFU MENGI MTASEMA ILA NIWAPE POLE KWA KUWAAMBIA HUWEZI SHINDANA NA ALIYEJAALIWA MAANA MKONO WAKE BWANA NA MACHO YAKE YANAMTAZAMA POLENI PIA HUSDA HAZISAIDII CHA MSINGI MASHABIKI ZANGU NIPO WASAFI FM 88.9 KIPINDI KINAANZA SAA TANO MPK NANE KAMILI ZA MCHANA @idriskitaa @jumalokole2 #NITAWAKERAZAIDI👌MNAONISUBIRI NISHUKE MSISAHAU KUCHUKUA VIGODA MKAE MAANA LITAWACHWEA HUWEZO WA MUNGU NI MKUBWA KWA MJA🙏🤣" Dida

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kizee cha miaka ya baba wa taifa, sura ishakushuka unajitaidi uonekane kijana, Pole Dida wa Domo huna jipya umewafata ma kaka poa ndo wanaomasifia boss wako. michambo yenyewe yaa kizamani. kafie mbeleeeee.

    ReplyDelete
  2. kwahiyo unajiona nani. Zari au Tanasha au Hamisa? bora ukeenda kusoma English angalau ubadilishe maisha from uswazi to....Sura sasa hata Iyobo mzuri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad