Mtanzania Auawa Kwa Kupigwa RISASI Tano za Kichwa Afrika Kusini...


Shabani Kassim Ally (43), Mtanzania aliyekuwa akiishi Afrika Kusini ameuawa kwa kupigwa risasi tano za kichwa katika Mji wa Durban, nchini Afrika Kusini

Imeelezwa kuwa, chanzo cha kifo chake ni mgogoro wa kibiashara. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Emmanuel Buhohela amesema hawajapata taarifa za kifo hicho kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini

Mmoja wa ndugu wa marehemu, Ally Mang’uro “Ni kweli amefariki, mwili umeshapandishwa kwenye ndege kutoka Afrika Kusini, tutaupokea Uwanja wa Ndege, mwili utasafirishwa kwenda Muheza (Tanga) kwa mazishi.”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad