Mtume Mwamposa Anayetafutwa na Polisi Apatikana..Aendesha Ibada Jijini Dar es Salaam....



Wakati Polisi wakidai kumtafuta bila mafanikio, Mwamposa yupo anaendesha ibada kanisani kwake Kawe jijini Dar huku kukiwa na ulinzi mkali
-
Inadaiwa watu wanadhibitiwa kupiga picha bila kibali na inasemekana ibada ya leo itaisha saa 6 kamili mchana

UPDATE: Mwamposa amewaaga waumini wake kuwa anaelekea Moshi kujisalimisha kwa Jeshi la Polisi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad