Dkt. Mwaka Akiri Kulala na Wakeze Wawili Chumba Kimoja. Ashikwa Kigugumizi Kuhusu Kushiriki nao tendo kwa Pamoja




Huyu jamaa Leo kaenda clouds fm kipindi cha LEO TENA na wake zake wawili, wa pili na wa tatu. Wa kwanza hakuwepo.

Wameongea mengi kuwa wake zake wanapendana.

Ila kaulizwa swali na Geah Kuhusu kulala na wake zake chumba kimoja, jibu Lake ni kuwa wake zake wawili (isipokuwa wa kwanza) analala nao ila Kuhusu kushiriki tendo kwa pamoja hajakataa ila amesema ni mambo ya ndani.

Sasa huyu chalii ndio anamaanisha wanashiriki "threesome" na wake zake sio.
Ukiwa na hela raha sana.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad