Haya Sasa Amepatikana Mke Mkubwa wa Dr Mwaka Ambae Hakutambulishwa Clouds FM...

Haya sasa Amepatikana Mke Mkubwa wa Dr Mwaka ambae ndio mke wa Kwanza kabisa , yeye hakuwepo Clouds F wakati akijielezea kuhusu wake zake wawili kuwa wanaelewana na kushirikia, lakini maswali kwa wadau walikuwa wakiulizia mbona mke mkubwa hakutambulishwa?

Picha ya Juu ndio Mke wa Kwanza wa Dkt Mwaka inasemekana huyu hana mazoea ya uke wenza
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad