Unaambiwa Hamisa Mobetto Atamani Kuwa MKE wa Nne wa Dr Mwaka..

Hamisa Mobetto atamani kuwa mke wa nne wa Dkt Mwaka... Aonesha Hisia zake kwa kumpost Picha ya Dr Mwaka katika insta story yake, hii imekuja baada ya Dr Mwaka kuwa Gumzo wiki iliyopita baada ya kutambulisha wake zake wawili ambao wanapika chungu kimoja waswahili tunasema wanaiva mpaka kufikia kulala chumba kimoja na mme wao....

Katika Dini ya Uislamu mwanaume anaruhusiwa kuoa wake mpaka Wanne hivyo kama inampendeza Dr Mwaka anaweza futa jiko la nne
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheni unafiki,

    ReplyDelete
  2. Ahaaaa..!!!
    AMISA POSA YANGU HAIJAJIBIWA.HAYA KWELI MANENO YAKO AU MTANDAO.

    PLESHA IMENIPANDA. DR HATAKI ONGEZA TENA.
    HEBU MWAMBIE MAMA ANIJIBU HALAKA.
    NIMESHAKOPA HELA za WATU madeni kibao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad