Mwanamke MKE wa Mtu Apewa Mimba na Mtoto wa Miaka 13..Mumewe Ashtukia Mchezo

Pichani Leah Cordice(20) ambaye ni mke wa mtu amepandishwa kizimbani huko Uingereza Kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mvulana wa miaka 13 Kisha kubeba mimba na kumzalia mtoto wa kike. Kwa mujibu wa taarifa Leah alienda chumba cha mtoto huyo akiwa anacheza game na kuanza kumtega na kumshawishi wafanye mchezo huo mchafu -

Alikuwa akibanjuka karibia mara mbili kwa mwezi na mtoto huyo ndani ya mwaka mmoja hadi akanasa mimba. Mumewe Leah alidhani mtoto ni wake lakini vipimo vya DNA vimeonesha mtoto aliyezaliwa sio wa mumewe bali baba yake mzazi ni kijana huyo ambaye bado ni mwanafunzi. -

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Ingawa utambulisho wa Leah umewekwa wazi kwa Picha zake hizo, lakini utambulisho wa mtoto huyo aliyempa mimba umefichwa kwa sababu za kisheria. Kesi bado inaendelea kusubiri hukumu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad