Mwanamuziki Joh Makini Afunguka Kumnyima Collabo Diamond Platnumz

"Niliiona story mitandaoni kwamba Diamondplatnumz aliniomba collabo nikamnyima na nikafatilia nikagundua ni kweli yeye amesema hivyo ila Mimi sikumbuki kama kuna mtu anaitwa Diamond amewahi kunitafuta, Ikitokea tumefanya kazi itakua jambo zuri"
.
Ameyasema hayo JOH MAKINI katika Interview na Wasafi FM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad