Mwimbaji Burna Boy Kiburi Kimemzidi..Tazama Alichofanya Baada ya Kuwa Bored na Maswali ya Mwana Habari Mbele ya Babu Yake


Mwimbaji Burna Boy wa Nigeria ameleta timbwili kwa kumzingua Mtangazaji mmoja kwenye mahojiano ambayo yalikuwa yanafanywa mbele ya Babu na Mama yake mzazi.

Kwenye mahojiano hayo Mtangazaji huyo alijikuta akipigwa na butwaa mara baada ya Burna Boy kunyanyuka na kuondoka mbele ya Wazazi wake akidai kuwa kuchoshwa na maswali ya Mtangazaji huyo.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL APP, BONYEZA HAPA  CHINKUDOWNLOAD

 (+VIDEO)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad