Mwimbaji Nandy Atubipu na Boy Friend Mpya...Bilnass Tupa Kule


Staa wa muziki ‘Nandy’ baada ya kuonekana na Cheni Shingoni yenye jina ‘NSAVAGE’ imepelekea kuipata picha hii ya kijana mtanzania ambaye pia ujitambulisha kwa jina lenye Neno ‘SAVAGE’ kwa kuvaa cheni.

Mfanano wa namna ya urembo huu wa kuvaa cheni kwa wawili hawa unaweza kuibua maswali kwa baadhi ya watu ingawa Nandy ni kwa mara ya kwanza anaonekana na Urembo huu wenye utambulisho huo.

Hata hivyo mpaka sasa walio wengi wanaamini Nandy yuko kwenye Mahusoano na Staa wa muziki BillNass huku maswali yakiibuka kuwa kunani juu ya matumizi mapya ya neno SAVAGE hasa kwa kuvaa cheni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad