Nabii na Mtume Boniface Mwamposa, wenzake waachiwa kwa dhamana
5
February 04, 2020
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema watu wanane akiwemo Nabii na Mtume Boniface Mwamposa wameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa kina.
Wote wanatuhumiwa kuendesha kongamano lililosababisha vifo vya watu 20 mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Mwananchi Digital, Msemaji wa Polisi David Misime amethibitisha.
Hapo juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Jeshi la Polisi linamshikilia Mtume na Nabii Boniface Mwamposa baada ya kutoroka mjini Moshi kufuatia vifo vya watu 20 ambao walikuwa wanakanyaga mafuta ya upako mahala alipokuwa akihubiri.
Tags
Ndugu Zangu....!!!
ReplyDeleteNABII NA UTUME, KAUTOA WAPI..???
Mbona tunachaua Lugha yetu...Tunahiji
kurudi shule..??
Mwakyembe unaliona Hili na dkt Bashiru hata Kabudi unalinyamazia Hili
Au waandishi wanahitaji Kamusi.
Mama Ndalichako himiza vitabu vya Mwana Lugha Fasaha Marehemu Shabani Robert.
Ndugu Zangu....!!!
ReplyDeleteNABII NA UTUME, KAUTOA WAPI..???
Mbona tunachaua Lugha yetu...Tunahiji
kurudi shule..??
Mwakyembe unaliona Hili na dkt Bashiru hata Kabudi unalinyamazia Hili
Au waandishi wanahitaji Kamusi.
Mama Ndalichako himiza vitabu vya Mwana Lugha Fasaha Marehemu Shabani Robert. Vichapishhwe kwa wingi na viudi Mashuleni iwe ni compulsary subject ili tukiipeleka lugha yetu SADC iwe na Heshima inayo stahili.
Ni lugha fasaha na mojaya Lugha iliyo Safiri milima na mipaka na ikavuka Mito na Mabahari Ipo na IMetapaka duniani Kote..
Ni wajibu wetu na Utamaduni wetu sisi kuitumia inavyo stahiki na Ufasaha wake.

Mbona tunachafua Lugha yetu...Tunahiji