Web

Naibu waziri Mambo ya Ndani Masauni atinga TAKUKURU kuhojiwa



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, naye amekuwa miongoni mwa viongozi walioitwa na TAKUKURU kwaajili ya kuhojiwa leo februari, 1 ameitikia wito na kufika katika ofisi za TAKUKURU, Jijini Dodoma kwa ajili ya mahojiano na Taasisi hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad