Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika



Mamalaka ya Afya ya Nigeria (Federal Ministry of health) ya Nigeria imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19, waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi Lagos na siku za karibuni alirejea kutoka Milan (Italy), kwasasa mgonjwa huyo yupo katika uangalizi wa kimatibabu mjini Yaba ndani ya mjini Lagos na serikali inafanya juhudi kuatambua watu wote ambao mgonjwa huyo alikutana nao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad