Nilimfuma MKE Wangu Akinyatia Kuingia Kwenye Chumba cha Mdogo Wangu wa Kiume Akiwa Nusu Utupu


Kumbe ilikuwa ni tabia yake kwenda kwa mdogo wangu huyo wa


kiume ambaye ni mtoto wa shangazi yangu, na kula uroda wakati mimi sipo, nilipata tetesi hizo kutoka kwa housegirl wetu lakini sikuweza kuamini. siku hiyo nilirudi kimya kimya na kujifungia chumba kimoja ambacho kilikuwa hakitumiki, na wote hawakujua kama nilikuwa nipo.

Mara ilipofika ,majira ya saa nne hivi usiku, nilimuona mke wangu ananyata huku akiwa amevaa nguo za ajabu sana, alipita chumba cha house girl na kisha kuzama kwenye chumba cha ndugu yangu huyo wa kiume. nilitoa simu yangu niliyokuwa nayo na kumpiga picha kwa ushahidi zaidi, alipoingia tu na mimi nikaingia alishindwa kuamini na gafla alianza kuomba msamaha, nilimuuliza mke wangu kwani umefanya nini alishindwa kunijibu huku akiendelea kulia na kuomba msamha, nilitoka na kwenda chumbani kwangu kulala, yule mdogo wangu wa kiume alifungasha usiku ule ule na kuondoka na mke wangu hakuweza kulala, iliniuma sana sikuweza kuamini kwani nilimuamini sana mke wangu.Kesho yake sikuweza kuvumilia nilichukua uamuzi wa kumrudisha kwao , kwani ningeweza kumfanya kitu kibaya sana kama ningeendelea kumuona.

Source: New Paradise
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo picha umeitoa rahatupu kimba lako

    ReplyDelete
  2. Sasa si tufanyeje...si ushaamua kumrudisha kwao. Labda humtoshelezi ndo maana bora mdogo wako kuliko kwenda nje kabisa. Msamehe bure kama uko tayar...kama humtaki tena mwache. Maana hata kama ni ndoa ya Kikristo mnaruhusiwa kuachana mmoja akienda nje.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. hii story ni kutungwa ya kutungwa tu hakuna ukweli wowote kwa sababu kama kweli mkeo amefanya kosa hilo ndo upload na picha alafu picha yenyewe cyo halisi

    ReplyDelete
  5. Wewe acha fix jalibu tena fix nyingine

    ReplyDelete
  6. sasa sisi tukusaidie nn nawe umeshatoa uamuzi ebuuuuuu tpuachee tulaleeee

    ReplyDelete
  7. mh itakuwa we jamaa hufai itakuwaje akukimbie we msenge nini?

    ReplyDelete
  8. toa na namba ya simu aweze kusaidiwa

    ReplyDelete
  9. Hayo maneno walisema wazee wa zamaniiiiii ukiwa mjanja Kuchapiwa ni siri ya ndani..Hahahaha

    ReplyDelete
  10. Wewe ulikuwa unaota Jini Mahaba.
    Nenda Kwa Nabii na Mtume yule wa Nani akupe Chumvi za Kisuli Suli na Mafuta ya Upako.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad