Nini Maana ya Shanga Kiunoni na Maana yake?

Jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. shanga maana shanga ni kuwa
    inasaidia kumcall mWanaume kuamsha sensitivitY b4 touch any whre of his bodY Wala sio ulembo znakaZi yake na hii ndo kazi Yake hapo uqo?

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Hii kitu inatumikaje?

    ReplyDelete
  4. HIYO NI SAWASAWA NA KACHUMBARI KWA PILAO

    ReplyDelete
  5. napenda cheni mie...ina raha

    ReplyDelete
  6. shanga zilikua zinavaliwa zamani kabla ya nguo ili kuficha eneo la tukio, sasa imebaki stori tu, but ina vutia akiwa na cheni moja, na kiuno kipana kama agnes wa masogange

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad