Ommy Dimpoz Kashatua NBA AllStars...Aanza Kututisha na Mastaa Wakubwa Marekani

Nyota wa muziki kutoka Tanzania, 👉OmmyDimpoz kwenye Selfie ya Pamoja na Rapper wa Kundi Migos la nchini Marekani, 👉Quavo.

Wawili hawa wamekutana baada ya kuhudhuria mchezo wa *NBAAllStar 2020 mjini Chicago nchini humo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad