PAUL Makonda 'Rais Anawawaza Watanzania Kuliko Familia yake'


"Hawa viongozi wa dini wananiambia, hivi Mzee analala kweli? Nimewajibu analala kwa maombi yenu, unawawaza Watanzania kuliko hata familia yako, unatufundisha mambo ambayo hatukuwahi kujifunza" ...Ameyasema Hayo RC, Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. *UzinduziWaMajengoYaOfisi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad