Paul Makonda "Siwezi Kuzungumzia Marufuku Niliyopigwa na Marekani Kwa Sababu Sina Taarifa Rasmi



Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amezungumza nje ya kamera na mwandishi wa Habari wa Azam TV Upendo Michael leo Februari Mosi 2020 jijini Dar es Sakaam na kusema kwamba hayuko tayari kuzungumzia MARUFUKU aliyopigwa kuingia Marekani kwa madai kwamba hana taarifa rasmi ya zuio hilo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad