PAUL Makonda "Watanzania Tumefanikiwa Katika Umbea Kwa Asilimia 99.9

"Katika eneo pekee ambalo Watanzania tumefanikiwa ni katika umbea kwa asilimia 99.9, ukiangalia Instagram yako, Twitter na Facebook yako hata kupost tu aina ya mnyama mmoja na tabia zake hauwezi ila umbea una forward masaa 24, halafu mwisho wa siku unataka bweni umechangia nini wewe" amesema RC Makonda.

Makonda ameyabainisha hayo jana Februari 14, 2020, wakati akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tambaza, alipofika hapo kwa ajili uhamasishaji wa zoezi la uandikishwaji wa wananchi katika daftari la wapiga kura.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad