PICHA: Uwanja wa majengo, Moshi unavyoonekana baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa Na Kuua Watu 20


Uwanja wa majengo, Moshi unavyoonekana baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia walipo kanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad