Mbunge wa Mikumi Professor Jay Afunguka Taarifa za Kujiunga CCM



Baada ya Taarifa kusambaa kuwa Mbunge wa Mikumi Professor Jay muda wowote anatarajia kujiunga na CCM yeye asema zipuuzwe.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kwa sasa yupo nchini CONGO anaiwakilisha CHADEMA nchini huko taarifa hizo za kuhama CHADEMA zinazosambazwa zipuuzwe ni za Uongo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad