Raha ya Kutongozwa Kwa Wadada..Ni Kweli Kuwa Usipotongozwa Kama Wiki tu Hivi Wajisikia Vibaya?


Kina dada hili swala la kutongozwa mnalichukulia vp, mwanamke ni asili yake kutongozwa?

Kwa sababu nilishakaa na kusikiliza maongezi ya kinadada wengi once anapokuwa anakosa mtu anaemtokea l mean kumtongoza hujisikia hajakamilika, na akiwa ni mdada ambae wanaume wanapishana kumtongoza anajifeel perfect hii imekaaje.

Huku Uswahilini Kwetu unakuta mdada anakesha kwa mganga ili apate kismati cha kutongozwa, Unakuta mdada anaewafungisha tela wanaume kwa kutongozwa Wenzake wanamwonea kijicho mpaka hawaelewani..

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL

Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad