Rayvanny "Mimi Nimeshawahi Kushinda Tuzo Moja Ambayo Diamond na Ukubwa Wake Hajawai Shinda"



Rayvanny amefunguka haya kuhusu kuendelea kuwa chini ya Diamond Platnumz Kikazi
"Mimi kufanya kazi na diamond hakuwezi kunizuia kuwa mkubwa, Hakuna kitu kama icho, Hapo ndio wasanii wengi huwa wanafail, Mfano mzuri Diamondplatnumz amewahi kushinda tuzo nyingi lakini mimi nimeshinda moja ambayo hajawahi kuishinda.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Mwanangu, nyinyi ndio mnaobeba Sallam na maguumashi wake, Jina unalo Vanny Boy..!!
    Hata Mondi anaelewa na anakubali hivyo.

    Ngoja wakati muafaka na mahesabu yakitaradadi, Unnasepa vile vile, mchana kweupe..!!

    UMETISHA DOGO.

    ReplyDelete
  2. Ni kujiamini tu mwanangu, na Usutu wako na Fahima pia.

    Hongera Mwanangu, nyinyi ndio mnaobeba Sallam na maguumashi wake, Jina unalo Vanny Boy..!!
    Hata Mondi anaelewa na anakubali hivyo.

    Ngoja wakati muafaka na mahesabu yakitaradadi, Unnasepa vile vile, mchana kweupe..!!

    UMETISHA DOGO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad