Sadallah Lipangile wa KMC Achaguliwa Mchezaji Bora Mwezi Januari


Mshambuliaji wa timu ya KMC ya Dar es Salaam, Sadallah Lipangile amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/2020.

Lipangille ameshinda tuzo hiyo akiwashinda wenzake wawili,Nicholas Wadada wa Azam na Hassan Dilunga wa Simba alioingia nao fainali.

KMC ipo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 20 baada ya kucheza mechi 20.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad