Shabiki wa Newcastle ashangilia kwa kutoa ‘Nyeti zake nje’ baada ya timu yake kushinda



Katika hali ambayo sio ya kawaida shabiki mmoja wa klabu ya Newcastle alinaswa na kamera za uwanjani akishangilia ushindi ambao timu yake umeupata dhidi ya Oxford Unted kwa kutoa ‘nyeti’ zake nje kwenye mchezo wa raundi ya nne michuano ya kombe la FA Cup.

A Newcastle fan appeared to get a little overexcited celebrating an extra-time winner

Shabiki huyo alifanya tukio hilo hapo jana siku ya Jumanne mara baada ya mchezaji wa Newcastle, Allan Saint-Maximin kufunga goli la tatu na la ushindi dakika ya 116, baada ya timu hizo kwenda sare ya mabao 2 – 2 mpaka dakika 90.

The supporter appeared to expose himself after Allan Saint-Maximin's late winner


Tukio hilo liliwashitua mashabiki wengi uwanjani baada ya kuliona kupitia TV, ambapo kijana huyo alionekana akifungua zipu yake ya jinzi kisha kutoa ‘nyeti’ zake kwa furaha baada ya timu yake kupata ushindi huo.

The Newcastle forward tweeted his own response to the incident after the final whistle

Baada ya kutoa nyeti zake alionekana akiigiza kama anafanya ‘masturbation’ wakati klabu yake ya Newcastle ikisonga mbele kwenye uwanja huo wa Kassam Stadium.

Kitendo hiko kimezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter kiasi kwamba kila mtu amekuwa akifanya mzaha.


Mmoja akisema shabiki huyu wa Newcastle amefurahia sana goli, wakati mwengine akisema huo ndiyo uchawi wa michuano hiyo.

Bao hilo la dakika za mwisho la Saint-Maximin linaifanya Newcastle kukutana na West Brom katika mchezo ujao wa FA Cup utakao pigwa mwezi ujao.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad