Simba Mwendo Mdundo Yaendelea Kutoa Kipigo Uwanja wa Taifa


Klabu ya Simba imefanikiwa kuchukua pointi zote tatu baada ya kuipa kipigo Kagera Sugar cha bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Goli la Simba lilifungwa na Meddie Kagere kwa mkwaju wa penati dakika ya 61.

FT | Simba SC 1-0 Kagera Sugar.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad