Spika Ndugai Ataka BUNGE Kuwekwa Kwenye Vivutio vya Watalii...



Spika Job Ndugai amesema, "Ukiangalia Majukwaa ya Bungeni (gallery) yanavyojaa kwa mwaka mzima, ukijumlisha Watalii wa Ndani wanaokuja hapa Bungeni. Sisi ni namba moja"

Amehoji, "Hivi Wizara ya Maliasili inajua kuwa katika vivutio vikubwa vya Watalii wa Ndani Bunge la Tanzania linaongoza kuliko hifadhi yoyote?"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad