Sugu Apasua Jipu “Bashiru Amenipigia Simu, Hii Sura Sio ya CCM, Mnachukua Wajinga Wajinga”



Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu Sugu ametuma salamu kwa Katibu Mkuu wa (CCM), Dkt. Bashiru Ally akimwambia kuwa Yeye sura yake sio ya Chama cha Mapinduzi na hawawezi kumchukua.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad