Tanasha Akiri Uhusiano na Diamond Ulimpa Depression, Yeye na Zari Nani Amepigwa Matukio?

Tanasha amekiri kwamba kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz si jambo rahisi na ndio maana kutokana na pressure ya mashabiki na tetesi zisizoisha juu ya maisha ya boyfriend wake, mwaka jana alipata Depression. Hata hivyo, kwenye #RoundUp tunajiuliza, ni nani aliyepigwa matukio zaidi kati ya Tanasha na Zari The Bosslady?

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad