Tanasha Donna 'Sikuzaliwa Kuwa Mama wa Nyumbani'



Mwanamziki Tanasha Donna ambaye amezaa na mwanamuziki mwenzake wa Tanzania Diamond Platinumz kwa jina maarufu Simba, Tanasha amesema anaulizwa mengi kuhusu yeye kwa lile swala la kuwa mama wa nyumbani, kutoka kwa mashabiki wake.

SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

Na kusema hakuzaliwa kuwa mama wa nyumbani. Pia, asema yeye pamoja na Diamond ya kuwa wana matarajio makubwa katika suala lao la maisha. Vilevile amesema yeye kuwa na mtoto inamsukuma kutafuta pesa zake mwenyewe kwa nguvu.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad