TANZIA: Jaji Mkusa Isack Sepetu afariki dunia



Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Mkusa Isack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Mnazi Mmoja alipokuwa akipatiwa matibabu.

Marehemu Jaji Sepetu anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni kijijini kwao Mbuzini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad