Tanzia MKE wa Mchezaji Nizar Khalfan Afiwa na Mkewe



Mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora Nizar Khalfan amefiwa na mke wake (Pichani) leo mchana jijini Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Rhino Rangers imeeleza kuwa Nizar amekutwa na msiba huo akiwa na timu yake jijini Tanga ambapo alitakiwa kuwemo kwenye kikosi kilichoanza dhidi ya Sahare All Stars, katika mchezo wa Ligi daraja la Kwanza.

Tunatoa Pole kwa Nizar Khalfan pamoja na ndugu jamaa na Marafiki.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad