Tazama VIDEO Hii Jinsi Vijana Wawili Walivyopinduka na Gari Aina ya Bentley Kisa Mwendo Kasi


Video na  picha za vijana wawili waliotambuliwa kama Kush na Munga imesambaa mtandaoni wakiendesha gari zito la kifahari aina ya Bentley . Kush  ambaye anayendesha gari hilo ,anaonekana akizidisha kasi kupundukia kabla ya gari hilo kubingiria mara kadhaa .Hata hivyo wawili hao walinusurika  kifo na kupata majeraha

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad