"Radio Times FM" Nyumba ya Mapito ya Watangazaji na Madj Wengi


Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila chini ya Damu changa ya Lehule Nyaulawa mambo yanaenda,

Kwanini ni Nyumba ya Mapito, ni kituo ambacho wamepita watu wengi wengi sana ila hakiyumbi wala hakifi na matangazo ndio yanakuja kwa kasi, naweza sema ni kama chuo kidogo baada ya Sahara Media na IPP,

Baadhi ni watangazaji/Djs waliopita hapo kwenye nyumba ya Mapito

Aloyce Sazia (mapembe)
Rahabu Fredy
Freddywaa
Masoud Kipanya
Mariam Kitosi
Jabir Salehe
Dj Dommy
Dj Cue Mohamed
Gardner Habash
Moko Biashara
Raheem Da Prince
Jonijoo
Yasin Da King
Dj R Guy RIP

Listi ni ndefu, Ongeza pia na wewe

kwa sasa inasikika Dar na Mbeya kama kumuenzi muanzilishi wa kituo hiko, ili sijui kwa nini hawatanui masafa yao
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad