Ukitaka Usimegewe Hakikisha Unampa Mpenzi Wako Mahaba Niue Yenye Magawati za Kutosha


Ukitaka Usimegewe hakikisha unampa Mpenzi wako Mahaba-Niue Niteketeze Kabisa yenye Megawati za kumtosha kuendesha Mitambo ya Furaha kwenye Moyo wake...Ukishindwa kumpatia lazima atakutafutia Jenereta la dharura au Solar Panel just incase Umeme-Penzi wako hautabiriki.Hakuna Mtu anayependa kukaa gizani kusubiria Umeme usiotabirika wa TANESCO wakati Majenereta yanauzwa.

Ukitafutiwa Jenereta la Dharura kwenye Mapenzi usilalamike,Jilaumu mwenyewe kwa kutotabirika kwa Umeme-Penzi wako...Watu wanasikia Joto wameamua kujizatiti ili ukikatika tu kitu kinawaka AUTOMATIC.

Shkamoo wote mliowekeza mitambo ya Symbion na Aggreko kwa sababu Wapenzi wenu wapo-wapo tu hawajitambui wanatumia Mita au Unit za LUKU
WANAUME:Msipoangalia mtajikuta LUKU haina kazi mtu yuko under Generator masaa 24 kuepuka kadhia,Utajibebaje!
By
-Seth De Jesus
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia Waarabu wanakipiga Usiku na Mchana Kuhakikisha hamna mgao wa Kilo wati, wala. Mega wati.
    Utauwa wa Kumwaga. Giza historia za simulizi. Sema labda vyuma zimekaza.jeneleta imekongoloka.hapo shuguli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad